1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jeshi la Burundi latumwa DRC kuyasaka makundi ya waasi

Mitima Delachance16 Agosti 2022

Imetangazwa rasmi kuwa jeshi la Burundi limeingia katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo kwa ushirikiano na jeshi la Kongo kuyasaka makundi ya kigeni yenye kumiliki silaha mkoani Kivu kusini. Je, wakaazi wa Kivu kusini wamepokea vipi tangazo hilo? Sikiliza ripoti ya Mitima Delachance kutoka Bukavu.

https://p.dw.com/p/4Fapb