1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jenerali Henry Tumukunde atangaza kuwania Urais Uganda

Lubega Emmanuel4 Machi 2020

Hatua ya jenerali Henry Tumukunde kutangaza kuwania urais imepokelewa kwa maoni mseto katika kipindi hiki ambapo joto la uchaguzi limeanza kufukuta. Licha ya kushikilia nyadhifa mbalimbali katika jeshi na serikali ya rais Museveni, mwanajeshi huyo amekuwa akimkosoa rais Museveni mara kadhaa na kuadhibiwa na utawala.

https://p.dw.com/p/3YqEU