1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Zanzibar imeanza kutoa chanjo za corona kimya kimya?

30 Juni 2021

Kuna taarifa kwamba serikali ya nchi hiyo imeanza kutoa chanjo dhidi ya virusi vya corona kimya kimya baada ya chanjo hizo kuingizwa kwa usiri. Ili kufahamu iwapo taarifa hizi ni za kweli, Grace Kabogo amezungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dokta Omar Dadi Shajak.

https://p.dw.com/p/3vpe1