1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, wafungwa wana haki ya kufanya tendo la ndoa Tanzania?

Deo kaji Makomba13 Septemba 2022

Serikali ya Tanzania imesema tendo la ndoa kwa wafungwa sio haki ya msingi na kwamba haki wanayostahili kupewa ni chakula na mavazi. Kauli hiyo inakuja siku chache tu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumtaka mkuu mpya wa jeshi la magereza nchini humo kuhakikisha wafungwa wanapatiwa haki zao za msingi ikiwemo mahali pazuri pa kulala na chakula. Sikiliza ripoti ya Deo Kaji Makomba kutoka Dodoma.

https://p.dw.com/p/4Gn9M