1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoBrazil

Je, utamkumbuka vipi Pele?

3 Januari 2023

Edson Arantes do Nascimento maarufu kama Pele, Lejendari wa timu ya taifa ya Brazil. Mmoja wa wanamichezo wakubwa duniani. Lakini bado umahiri wake utaendelea. Mbwembwe na madoido ni moja ya mambo yanayoongeza burudani la kandanda. Veronica Natalis amewawauliza mashabiki watamkumbuka vipi?

https://p.dw.com/p/4LgZ0