1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je ushirikiano wa Chadema na ACT Wazalendo wakubaliwa?

Josephine Tatu Karema23 Septemba 2020

Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania imeonya kuvichukulia hatua za kisheria vyama vitakavyochukua uamuzi wa kushirikiana bila kufuata matakwa ya sheria.

https://p.dw.com/p/3isgP

Ili kufahamu mengi zaidi, Tatu Karema amezunguma na Sisty Nyahoza ambaye ni msajili msaidizi wa vyama vya kisiasa nchini humo kutafuta ufafanuzi wa kisheria kuhusu ushirikiano na muungano wa vyama vya kisiasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Nyahoza, na ameanza kwa kufafanua kuhusu ushirikiano wa vyama hivyo.