1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUfaransa

Je, umeshawahi kusikia kuhusu ‘shrinkflation’ ?

22 Septemba 2023

Maduka makubwa ya Ufaransa ''Carrefour'' yanaweka lebo ya bidhaa kadhaa ili kuwaonya wateja kuhusu kupanda kwa bei ya bidhaa maarufu ''shrinkflation''.

https://p.dw.com/p/4Whxg