1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
PanoramaUjerumani

Je, Ujerumani imefikia wapi na kushughulikia historia yke ya ukoloni?

Harrison Mwilima8 Julai 2021

Miaka minne tokea serikali ya Ujerumani ilipoanza kushughulikia kikamilifu historia yake ya ukoloni, katika makala ya Sura ya Ujerumani tunajiuliza je, imepiga hatua yoyote katika suala hilo? Ungana na Harrison Mwilima katika makala hii iliyoandaliwa na Daniel Pelz.

https://p.dw.com/p/3wD6f