1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Tanzania inaweza kuwaadhibu wabadhirifu wa mali za umma?

Hawa Bihoga11 Aprili 2023

Mjadala umepamba moto nchini Tanzania tangu kutolewa kwa ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG ambayo imeonesha uwepo wa vitendo vya ubadhirifu wa mali ya umma. Hawa Bihoga amezungumza na Steven Msechu, Wakili wa kujitegemea kutoka Tanzania kufahamu iwapo nchi hiyo inaweza kuwachukulia hatua wanaotajwa.

https://p.dw.com/p/4PiWN