1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, tafiti za maoni zinaweza kushawishi uamuzi wa wapiga kura?

3 Agosti 2022

Utafiti wa maoni ya wapiga kura uliofanywa hivi karibuni nchini Kenya, unaonyesha mgombea urais kupitia tiketi ya muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga anaongoza dhidi ya mshindani wake wa karibu William Ruto wa muungano wa Kenya Kwanza. Je, utafiti huu wa maoni una uaminifu wa kiasi gani? Swali hilo Babu Abdalla amemuuliza mtafiti kutoka shirika la InfoTrack mjini Nairobi.

https://p.dw.com/p/4F3SB