1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, serikali ya Tanzania ilizembea uokoaji ajali ya ndege?

Jacob Bomani8 Novemba 2022

Baada ya watu 19 kuangamia katika ajali ya ndege ya Precision huko Bukoba nchini Tanzania, upinzani nchini humo na hata baadhi ya Watanzania wamekuwa wakiinyoshea serikali kidole cha lawama. Jacob Safari amezungumza na Mkuu wa itikadi na uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini humo CHADEMA John Mrema na kwanza alitaka kujua, hasa ni kipi kinachowafanya kuilaumu serikali?

https://p.dw.com/p/4JC3w