1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, raia wa Afrika Kusini wako tayari kwa serikali ya mseto?

Bryson Bichwa
3 Juni 2024

Licha ya matokeo ya uchaguzi mkuu uliomalizika nchini Afrika Kusini kukiweka pabaya chama tawala cha ANC, na hivyo kukilazimu kuja kuunda serikali ya mseto hapo baadaye, DW imeongea na baadhi ya vijana baada ya matokeo kutangazwa wamesema, wangependa nchi yao iwe na viongozi wapya na sio serikali ya mseto. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Bryson Bichwa.

https://p.dw.com/p/4gb0b