1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je ofisi ya kiongozi wa upinzani Kenya itakuwa na mantiki?

9 Januari 2023

Rais wa Kenya, William Ruto amewaandikia barua spika wa bunge la taifa na Seneti kuwasilisha mswada wa kuunda afisi ya kiongozi wa upinzani. Wengi wanahoji Je, ofisi hii itakayoundwa itakuwa vipi? Na je kuundwa kwake hakutaleta mgongano kwa upande wa upinzani? Haya ni miongoni mwa maswali yaliyojibiwa na Martin Oloo, mchambuzi wa siasa mjini Nairobi kama alivyozungumza na Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/4Luuk