1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, ni sawa kwa jeshi kutolewa kudhibiti Maandamano Kenya?

26 Juni 2024

Huku waKenya wakiapa kuendelea na maandamano yao kupinga nyongeza mpya za ushuru, katika mswada wa fedha wa mwaka 2024, mchambuzi wa masuala ya siasa na usalama aliyeko Nairobi, George Musamali anaelezea hapa kile kinachoendelea na kinachotarajiwa hasa baada ya Rais William Ruto kuyaita maandamano yanayoendelea yaliozua vurugu kuwa ''Uhaini na kitisho kwa usalama wa taifa.''

https://p.dw.com/p/4hX8g