1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je ni Lissu au Membe upi msimamo wa chama cha ACT?

19 Oktoba 2020

Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo Bernard Membe amejitokeza hadharani kusema bado yupo kwenye kinyang'anyiro hicho. Tangazo la Membe hata hivyo linaonekana kwenda kinyume na kauli zinazotolewa na baadhi ya vigogo wa chama ambao wamejitokeza hadharani kumuunga mkono mgombea wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu. Bruce Amani amezungumza na meneja wa kampeni za ACT Wazalendo Emmanuel Mvula

https://p.dw.com/p/3k96g