1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroIran

Je, mvutano kati ya Iran na Israel unaweza kuwa vita kamili?

15 Aprili 2024

Tatu Karema amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa, Ahmed Rajab akiwa mjini London kutathmini mashambulizi ya hivi karibuni ya Iran kwenye ardhi ya Israel. Mashambulizi hayo yalikuwa ya kulipa kisasi kufuatia kile Tehran inasema hujuma iliyofanywa na Israel dhidi ya ubalozi wake mdogo nchini Syria. Je, mvutano huo unaweza kugeuka vita kamili?

https://p.dw.com/p/4emp8