1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mradi wa reli ya viwango vya kimataifa Tanzania utafaulu?

Sylvia Mwehozi13 Aprili 2017

Kwa mara ya kwanza, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa itakayotumia umeme unaotarajiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 kuanzia sasa. Je, mradi huu utafaulu ikizingatiwa hali ya kiuchumi na umeme usioaminika? Sylvia Mwehozi alizungumza na Profesa Honnest Prosper Ngowi wa chuo kikuu cha Mzumbe, Dar es Salaam, Tanzania.

https://p.dw.com/p/2bAKN