1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Mikhail Gorbachev atakumbukwa vipi?

31 Agosti 2022

Kiongozi wa mwisho wa uliokuwa Umoja wa Kisovieti, Mikhail Gorbachev, amefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 91. Hata hivyo, licha ya kiongozi huyo kusifika kimataifa lakini hakuwa na umaarufu sana nchini mwake Urusi. Je, ni kwa nini? Sikiliza mahojiano kati ya Amina Abubakar na mchambuzi wa siasa za kimataifa Abdu Mtullya.

https://p.dw.com/p/4GGE2