1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, makundi ya M23, ADF na FDLR yataondoka Kongo?

28 Juni 2023

Mkutano wa kilele wa kikanda uliofanyika mjini Luanda nchini Angola kuhusu hali ya usalama mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeyataka makundi yenye silaha M23, ADF na FDLR kuondoka mara moja nchini humo. Je, wito uliotolewa katika mkutano huu utaitikiwa? Sikiliza mahojiano kati ya Bakari Ubena na mchambuzi wa siasa za eneo hilo Ali Mali.

https://p.dw.com/p/4TB1Q