1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSudan

Je, Majenerali al-Burhan na Dagalo wana nia ya kweli ya kuleta amani nchini Sudan?

Grace Kabogo/Oloo28 Aprili 2023

Pande mbili zinazohasimiana nchini Sudan siku ya Alhamisi zilikubaliana kuongeza muda wa kusitisha mapigano kwa saa 72, ili kuruhusu huduma za kiutu kuendelea na kutoa nafasi kwa nchi za kigeni kuwaondoa raia wao, ingawa mapigano bado yamekuwa yakiendelea kwenye baadhi ya maeneo ya mji mkuu, Khartoum. DW imezungumza na mchambuzi Martin Oolo.

https://p.dw.com/p/4QgOE