1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, maisha ya vijana wanaokwenda nje ya nchi zao kutafuta ajira hubadilika?

30 Aprili 2018

Katika Vijana Mubashara wiki hii kijana tunakuuliza, je unafikiri vijana wanaozihama nchi zao na kuelekea katika nchi zengine kutafuta maisha bora, kweli maisha yao hubadilika na kuwa mazuri? Sikiliza makala ya Vijana Mubashara.

https://p.dw.com/p/2wvf7