1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je kuna utashi wa kisiasa kufanikisha Maridhiano Zanzibar?

Salma Said/MMT22 Aprili 2021

Makala Yetu Leo inatupia jicho mchango wa wadau mbalimbali wa jamii ya Kizanzibari kwenye kuyafanya Maridhiano kuwa na uhalisia maishani mwao na hivyo kuyasimamisha na sio kuyaangusha. Msisitizo ukiwa ni ujenzi wa Maridhiano ya Wazanzibari, suala lililoanzia uundwaji wa serikali ya pamoja. Salma Said na mengi zaidi

https://p.dw.com/p/3sMUL