1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Athari za kufukuzwa kwa balozi wa Rwanda nchini DRC ni zipi?

Jacob Bomani31 Oktoba 2022

Katika mkutano wa baraza la ulinzi ulioongozwa na Rais Felix Tshisekedi jijini Kinshasa mnamo siku ya Jumamosi, walitangaza kuvunjika kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya DRC na Rwanda na kumtaka balozi Vincent Karega kuondoka ndani ya saa 48. Kisa ni nini? Sikiliza mahojiano kati ya Jacob Safari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Delphine Kapaya.

https://p.dw.com/p/4IsZy