1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, kikosi cha kulinda amani ndio suluhu ya usalama Congo?

Saleh Mwanamilongo6 Septemba 2022

Burundi imekuwa nchi ya kwanza kupeleka wanajeshi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia uamuzi wa hivi karibuni wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa kuanzisha kikosi cha pamoja dhidi ya waasi. Je, kikosi hicho ndio suluhu ya tatizo la ukosefu wa usalama mashariki mwa Kongo? Kwenye Kinagaubaga, Saleh Mwanamilongo amezungumza na Robert Seninga, Spika wa bunge la jimbo ya Kivu ya Kaskazini.

https://p.dw.com/p/4GTzc