1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Jumuiya ya SCO inaweza kuzikabili nchi za Magharibi?

Rashid Chilumba16 Septemba 2022

Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai inapigiwa upatu kuwa jukwaa kubwa la mataifa ya Asia ya Kati na Mashariki ya mbali kuzikabili nchi za magharibi. Hata hivyo miongoni mwa maswali yanayoibuka ni kwa kiasi gani jumuiya hiyo imefanikiwa kuwa na ushawishi katika uga wa kimataifa? Sikiliza mahojiano kati ya Rashid Chilumba na mchambuzi wa siasa za kimataifa Abdulfatah Musa kutoka mjini Tehran.

https://p.dw.com/p/4GzKl