1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, jeshi la kikanda litaleta utulivu Kongo?

16 Juni 2022

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametoa wito wa kutumwa kikosi cha pamoja cha kikanda kujaribu kusitisha machafuko katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Uamuzi wa kutumwa kikosi hicho utasaidia kwa kiasi gani kurejesha usalama? Bruce Amani amezungumza na Mohammed Abdulrahman mchambuzi wa siasa za kimataifa

https://p.dw.com/p/4CoYO