1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, IEBC iko tayari kwa uchaguzi wa Kenya?

29 Julai 2022

Zimesalia chini ya wiki mbili kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya. Tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC, kufikia sasa imesema kuwa iko tayari kwa uchaguzi huo licha ya matukio mbali mbali kutilia shaka mchakato huo wa uchaguzi. Kupata picha kamili ya maandalizi ya uchaguzi huo mkuu wa tarehe 9 mwezi Agosti, Tatu Karema amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya Herman Manyora.

https://p.dw.com/p/4Eqll