1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, hatma ya vyama vya kisiasa ni ipi katika siku za usoni?

Gakuba Daniel4 Desemba 2020

Matokeo ya uchaguzi uliopita nchini Tanzania yameviacha vyama vya upinzani nchini humo katika hali dhaifu zaidi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Maoni mbele ya Meza ya duara, wiki hii inaangazia mustakabali wa vyama vya kisiasa nchini Tanzania. Je, hatma ya vyama hivyo ni ipi katika siku za usoni? Ungana naye Daniel Gakuba na wageni washiriki.

https://p.dw.com/p/3mEtb