1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je chanjo za COVID-19 hufanya kazi vipi?

29 Juni 2021

Watu wengi ulimwenguni wana wasiwasi kupokea chanjo dhidi ya COVID-19 kwamba inaweza kubadilisha vinasaba vyao. Huo ni uongo. Kulingana na maelezo ya wataalamu, chanjo hizo ni salama kwako na kwa vinasaba vyako na vitakulinda dhidi ya virusi.

https://p.dw.com/p/3vlOn