1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Askofu Desmond Tutu atakumbukwa vipi?

27 Desemba 2021

Pamoja na kwamba Askofu Desmond Tutu alikuwa mtu maarufu sana, bila shaka wapo watu hususan wa kizazi cha sasa ambao hawafahamu dhima yake katika mabadiliko ya kuelekea demokrasia nchini Afrika Kusini, na sababu ya sifa anazomwagiwa baada ya kifo chake. Sikiliza mahojiano ya Hawa Bihoga na mchambuzi wa siasa za Afrika Egbert Mkoko.

https://p.dw.com/p/44rfD