1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Janga la COVID-19 nchini Burundi lazidi kuwa baya

Amida Issa14 Septemba 2021

Burundi inashuhudia ongenzeko kubwa la maambukizi ya virusi vya Covid-19. Kufuatia hali hiyo yeyote atakayeonekana katika mkusanyiko wa watu pasi kuvaa barakoa mjini Bujumbura atapigwa faini ya laki 1 franga za Burundi sawa na dola 30 za Marekani ndiyo. Isitoshe wabunge wameagizwa kupimwa Covid 19 mara 2 hadi mara 3 kwa wiki. Sikiliza ripozi zaidi kama ilivyoandaliwa naye Amida Issa.

https://p.dw.com/p/40K2V