1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Janga la COVID-19 lavuruga sekta ya biashara Kampala

1 Julai 2021

Janga la virusi vya corona linaendelea kuathiri afya na sekta nyinginezo. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel anaangazia hali ilivyo kibiashara jijini Kampala na jinsi wafanyabiashara na wadau wengine wanatizama masharti ya kuzuia kuenea kwa virusi hivyo. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/3vtvY