1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Janga la corona laathiri manunuzi kwa ajili ya sherehe za Eid ul-Fitr

22 Mei 2020

Tofauti na miaka ya nyuma, mwaka huu mambo ni tofauti kuhusiana na manunuzi kwa ajili ya maandalizi ya sherehe ya Eid ul_fitr mjini Dar es Salaam. Janga la corona limewanyima wauzaji na pia wanunuaji bidhaa raha. Ahmad Juma na maelezo zaidi.

https://p.dw.com/p/3cmf6