1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiCape Verde

Jamii iliyopuuzwa ya Cape Verde

17 Julai 2023

Chocalho ni jamii ya watu wanaoishi ndani ya Cape Verde. Familia hizo zinakabiliwa na matatizo makubwa kwa sababu ya ukosefu wa barabara na huduma ya maji safi. Changamoto hizo tayari zimesababisha wakaazi wake kadhaa kuondoka eneo hilo.

https://p.dw.com/p/4TzyU