1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jambo Mama kijiwe cha wajawazito, watoa huduma za afya.

Sylvia Mwehozi
2 Agosti 2023

Pamoja na habari za programu ya Jambo Mama, kikiwa kijiwe cha wajawazito na watoa huduma za afya, utasikia mjadala wa teknolojia ya akili mnemba (akili bandia) huko Ghana zaidi ni katika Sema Uvume na Sylvia Mwehozi.

https://p.dw.com/p/4Uh8L