1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jalala la Buterere ni kero Bujumbura

2 Aprili 2019

Kituo peke cha takataka kilicho katika mtaa wa Buterere kaskazini mwa jiji la Bujumbura baada ya kuripotiwa kujaa, imekuwa kero kubwa kwa mazingira ya wakaazi wa mji huu ambao kwa karibu sasa miezi miwili hawapati tena huduma ya kuondolewa takataka za ndani ya majumba.Mashirika ya kibinafsi yaliyo na mkataba wa kufanya hivyo yanasema kutokuwa na sehemu nyingine ya kutupa uchafu.

https://p.dw.com/p/3G6RS
Nalala Buterere Mülldeponie Bujumbura
Picha: DW/A. Issa
Nalala Buterere Mülldeponie Bujumbura
Picha: DW/A. Issa
Nalala Buterere Mülldeponie Bujumbura
Picha: DW/A. Issa