1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Italia yataka Umoja wa Ulaya kuisaidia Tunisia

Josephat Charo
17 Oktoba 2023

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Italia, Matteo Piantedosi, amesema ni muhimu kwa Umoja wa Ulaya kuisaidia Tunisia kudhibiti wimbi la wahamiaji kutoka Afrika Kaskazini.

https://p.dw.com/p/4XeQg
G7 - Innenministreffen Kloster Eberbach
Picha: Boris Roessler/dpa/picture alliance

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Italia, Matteo Piantedosi, amesema ni muhimu kwa Umoja wa Ulaya kuisaidia Tunisia kudhibiti wimbi la wahamiaji kutoka Afrika Kaskazini.

Waziri huyo ameliambia bunge la Italia kwamba anaamini ni kwa masilahi ya pande zote kutekeleza kwa haraka vipengle vya mkataba kati ya Umoja wa Ulaya na Tunisia uliotiwa saini mwezi Julai mwaka huu.