1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Italia na Uhispania, England na Denmark kuvaana nusu fainali

Josephat Charo
5 Julai 2021

Winga wa England Bukayo Saka anatarajiwa kucheza mechi ya nusu fainali ya kombe la EURO 2020 dhidi ya Denmark Jumatano huku kocha Gareth Southgate akionya watakuwa na kibarua kipevu kuvunja laana ya kutofuzu kwa fainali ya mashindano makubwa tangu mwaka 1966. Kocha wa Uhispania Luis Enrique apania kulipiza kisasi dhidi ya Italia.

https://p.dw.com/p/3w3mj