1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ismail Haniyeh azikwa nchini Qatar

2 Agosti 2024

Maelfu ya waombolezaji wametoa heshima zao za mwisho katika mazishi ya kiongozi wa kundi la Hamas Ismail Haniyeh iliyofanyika baada ya swala ya Ijumaa kwenye msikiti wa Imam Mohammad Abdul Wahhab mjini Doha, Qatar. #kurunzi 02.08.2024

https://p.dw.com/p/4j3M2