1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSenegal

Ipi ni hatma ya Senegal baada ya kuahirishwa uchaguzi?

5 Februari 2024

Kwa sasa Bunge linajadili pendekezo lililowasilishwa kwao na kamati ya maandalizi ya bunge kutaka uchaguzi uahirishwe kwa miezi sita au hata mwaka hadi Februari mwaka Ujao. Je nini kilichomsukuma rais Macky Sall kuchukua uamuzi wa kuahirisha uchaguzi wa Senegal? . Mercel Hamdun ni mchambuzi wa masuala ya Afrika anaeleza.

https://p.dw.com/p/4c4YR