1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiAfghanistan

Ipi hatma ya wanawake nchini Afghanistan chini ya Taliban?

Daniel Gakuba
28 Desemba 2022

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeutolea mwito utawala wa Taliban kubadili sera zinazowalenga wanawake na wasichana nchini Afghanistan. Je, shinikizo dhidi ya Taliban kutaka waache unyanyasaji huo itafanikiwa? Sikiliza mahojiano kati ya Daniel Gakuba na Abdul Fatah Musa, mchambuzi wa masuala ya mashariki ya kati aliyeko mjini Tehran, Iran.

https://p.dw.com/p/4LTo8