1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ipi hatma ya spika wa Tanzania Job Ndugai

5 Januari 2022

Nchini Tanzania msuguano wa wazi kati ya rais wa taifa hilo Samia Suluhu Hassan na Spika wa bunge Job Ndugai umehanikiza mjadala hususan juu ya iwapo kiongozi huyo wa bunge anakabiliwa na hali ngumu ya kisiasa ikiwemo uwezekano wa kuchukuliwa hatua ndani ya chama au bungeni. suali ni je, ipi hatma ya Job Ndugai?

https://p.dw.com/p/45A1C