1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ipi hatma ya Mali baada ya Ujerumani kuondoa wanajeshi wake?

14 Desemba 2023

Ujerumani imeondoa kikosi chote cha jeshi lake nchini Mali. Kikosi hicho kilitumwa kusaidia juhudi za kurejesha utulivu miaka saba iliyopita. Fahamu zaidi, sababu za kuondolewa kikosi hicho na hatma ya Mali baada ya kuondoka kwake.

https://p.dw.com/p/4a9AU