1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ipi athari ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa CHADEMA?

Lillian Mtono12 Mei 2022

Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania limeunga mkono uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho ya kuwafukuza uanachama wabunge 19 wa viti maalum. Lilian Mtono amefanya mahojiano na mchambuzi wa masuala ya siasa Goodluck Ng'ingo kuhusiana na hatua hiyo na kile kinachotarajiwa.

https://p.dw.com/p/4BDDz