1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Inakuwaje umeme unapokatika wakati mama anapojifungua?

29 Desemba 2021

Nigeria ina asilimia 10 ya vifo vya wanawake wajawazito kote ulimwenguni. Ili kujua hasa tatizo, mwandishi wa DW Flourish Chukwurah alishuhudia kisa kimojawapo cha upasuaji wa dharura wa mama aliyekuwa anajifungua jijini Lagos.

https://p.dw.com/p/44xHV