1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa ramadhani mjini Mombasa

16 Aprili 2021

Ingawa bado janga la COVID-19 lipo na kungali na makatazo ya kutotoka nje usiku kwa baadhi ya maeneo, hapa katika soko la Marikiti, mjini Mombasa, pwani ya Kenya, kunakouzwa bidhaa mbalimbali za mapishi, shughuli za biashara zinaendelea kama kawaida huku wafanyabiashara wakiendelea kuhudumia wateja wachache wanaokuja kufanya ununuzi wa mahitaji yao ya Ramadhani.

https://p.dw.com/p/3s7oF