1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IEBC kuzungumza na vyombo vya habari

11 Agosti 2022

Wakenya bado wanasubiri kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti, 9. Nayo Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC itazunzuma na waandishi habari Alhamisi saa nne asubuhi. Ili kufahamu shughuli ya kuhesabu kura imefikia wapi hadi sasa, Grace Kabogo amezungumza na mwandishi wetu Thelma Mwadzaya aliyeweka kambi katika ukumbi wa Bomas jijini Nairobi.

https://p.dw.com/p/4FOoS