1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IEBC kutumia fomu moja ya matokeo katika uchaguzi Kenya

29 Julai 2022

Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Kenya zimeingia kumi la mwisho. Tume ya IEBC imeridhia kutumia fomu moja pekee ya kukusanyia matokeo wakati wa uchaguzi mkuu.Wakati huo huo, vifaa vyote vya uchaguzi vitawasili kwenye vituo vyote ifikapo Agosti 6 ambayo ndiyo siku rasmi ya mwisho ya kampeni. Isikilize ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4EsQf