1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IEBC kuahirisha uchaguzi baadhi ya maeneo Kenya

20 Julai 2022

Tume ya uchaguzi nchini Kenya, IEBC, imeonya kwamba huenda ikalazimika kuahirisha chaguzi katika baadhi ya maeneo ambapo kesi kuhusu uidhinishwaji wa wagombeaji zinasubiri mahakamani. Wachambuzi wanasema hatua hiyo huenda ikatatiza shughuli ya uchaguzi. Isikilize ripoti ya mwandishi wa DW Wakio Mbogho kutoka Nakuru, Kenya.

https://p.dw.com/p/4EOyh