1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IEBC Kenya kutoa matokeo mapema iwezekanavyo

10 Agosti 2022

Pamoja na kwamba kwa mujibu wa sheria tume ya uchaguzi ya Kenya ina muda wa siku saba kisheria kutoa matokeo lakini mwenyekiti wa tume hiyo Wafula Chebukati amesema watajitahidi yatolewemapema zaidi.

https://p.dw.com/p/4FN1c